کاربر:Saasamar
Jina | Nasabu na Ujamaa Wake na Othman | Wadhifa |
---|---|---|
Walid bin Uqbah | Kaka yake kwa upande wa mama | Kiongozi wa Kufa[۱] |
'Abdullah bin 'Amin | Mtoto wa Mjomba | Kiongozi wa Basra[۲] |
Abdullah bin Abi Sarh | Ndugu wa kunyonya pamoja | Kiongozi wa Misri[۳] |
Muawiah bin Abi Sufian | Bani Umayyah | Kiongozi wa Sham[۴] |
Marwan bin Al-Hakam | Mtoto wa ami na shemegi yake | Mwandishi[۵] |
Said bin 'Aas | Bani Umayyah | Kiongozi wa Kufa[۶] |